*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

Mume wangu alikuwa na furaha kubwa sana, sikuamin maana nimefika nyumban nashangaa ananizawadia kumsababisha aitwe baba, ikabidi baadae. gari kwa kunishukuru nilipotulia nimuulize, " ni wewe siku ile kwenye hoteli?.. "unauliza maswali gani bana, si tulikubaliana kuwa mwanao ni mwanangu, kama nimekupenda wewe ni sawa sawa nikimpenda na mwanao, na umepitia mambo mengi sana ulipokuwa na huu ujauzito, acha kufikiria sana, na ufurahie maisha, maana nimeshamkubali mtoto kwa moyo wangu wote na kila mtu kwenye hii dunia atajua kuwa wewe ni mwanamke wangu na mtoto tuliozaa ni mtoto wetu, akaongea mume wangu kwa kujiamin.. Nilijisikia vizur sana, maana angalau na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments