DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA KUMI NA TANO*

DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA KUMI NA TANO*

Siku moja nimekaa zangu nje napunga upepo, kwa sababu kulikuwa na joto kali sana ndani, nikashangaa mama mkwe wangu huyo anakuja na mwanae... Nikamsalimia mama mkwe kwa heshima sana, kwa maana hata kama amekuja kishari hakubadilishi yeye kuwa mama mkwe wangu, nib ado atakuwa mkwe wangu hata iweje.... shika na wewe kama rahisi, akajibu mama mkwe kwa sauti ya kebehi.. "karibuni, ikabidi niwakaribishe ndani, sikuwa najua kuwa wamekuja kuangalia kamka kuna kitu cha kichawi ambacho nimeweka labda kwa Solomon mpaka akawa ananipenda hivi,, wakzunguka weee, nikawa nyuma yao nisije kutegeshewa kitu, walipohakikisha wamekagua. nyumba nzima wakanirudia... " embu nambie tukupe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments