*EX ULINIACHA ILA SASAIV NATOKA NA BABAAKO* *1-3* *_________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Mimi Naitwa Jane ni mwanafunzi wa chuo kilichopo jijini Dar es salaaam ,nasomea kozi ya procurement

and supply management . Nina miaka 19 ,Nina boyfriend wangu uyo ni handsome na yeye nasoma nae sema yeye yupo kwenye kozi nyingine . Siku hii ya Leo tunamtihan Niseme ni mid semester test na ndo kwanz nipo njiani sasaiv natafuta usafiri ,uyo lecturer mwenyewe ni mkali hatri sijui kisa hajaoa🤣 .Ila Mungu ni mwema nilifanikiwa kufika Kwa wakati Yan naingia Mimi tu na mtihani umekuja kuanzishwa dakika Tano mbele utasema nilimpanga aje muda gani.Mmmmh jamn ule mtihani ni mgumu au kisa Jan tulienda club ,🤣 Yan Jana tuu tumetoka kuruka majoka tukasahau kama Kuna mtihani mie na mashoga zangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments