
, nilipokutana macho kwa macho na mjomba niliganda nikiwa nimetoa macho, kisha nilisimama juu na kumuita: "Mjomba! General nae alishtuka na kugeuka haraka kumuona mjomba wangu, mjomba alisogea adi tulipokuwa na kunishika mkono akanipeleka nje kwenye gari yake, bila kusema kitu chochote kisha akafungua mlango wa gari na kuingia na kisha akawasha gari tukaanza safari, kiukweli alikuwa na hasira sana njia nzima alikuwa kimya hakuongea kitu, nilihisi kuchanganyikiwa sana kwani sijawahi kumuuzi namna hii mjomba wangu, amekuwa akiniamini sikuzote niliwaza sana, na General tumeachana hata namba ya simu hajanipa hapajui kwetu wala sijajua kambi ipi anaenda kufikia, nilijikuta natokwa na
0 Comments