
leo sifungui mlango mpaka kieleweke kwanini mimi nakupenda na wewe hunipendi Vanessa akamwambia hapana hivi uposawa wewe huoni kuwa mimi nishemeji yako nakuomba fungua mlango kwani utasababisha Fred ajue hili Franco akamjibu sijali huyo Fred nataka mama na baba pia wajue mimi sipendagi kuficha penzi langu hivyo ninapopenda napenda nionyeshe ulimwengu wote Vanessa akasema hivi unatatizogani wewe mimi sitaki kufikia hivyo nakuomba Franco acha ujinga naomba ondoka Franco akamwambia unazani utani sasa subili nikuonyeshe nijinsigani nakupenda Vanessa akaanza kuomba msamaha basi naomba acha basi nimeelewa nitafanya unachotaka Franco, Franco akamwambia sawa usiku waleo nakuhitaji chumbani kwangu naole wako usije nitakuja
0 Comments