GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele

za watu,  na kisha nilipewa adhabu  hapo hapo,  niliambiwa  nikimbie bila kupumzika,   mpaka atakapo rudi tena hapo  kikosi namba saba,  kisha aliondoka  na kwenda kukagua  vikosi vingine,  niliendelea kukimbia hapo huku nikiwa nalia kwa hasira,   nilijikuta namchukia kwa maramoja  tuu ndio kafika tuu,  nilikumbuka vile watu walivyokuwa wakisema  juu yake,  ni mkali sana nikaamini kweli nimkali,  alipomaliza kufanya ukaguzi,  kisha aliamuru ipigwe firimbi ya kwenda pared,   ilipo lia firimbi watu wote walikimbia kuelekea kwenye uwanja tayari kwa pared,  walipo fika walijipanga kwa vikosi,   na kuesabu namba,   ilipo fikia kikosi namba saba,   walijipanga na kuhesabu namba,  nakisha ilipofikia namba yangu,  General

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments