𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi

𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗢𝗧𝗢𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗝𝗘𝗗𝗔 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗦𝗢𝗠𝗘 ___________________________________  SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi

hapa dar ni mgeni hamna mahali ninapopajua zaidi ya nyumbn Kwa dada angu na Nyumbani Kwa Robert ,na kule kazini Umoja restaurant .Kwa dada nimefukuzwa na kule Kwa Robert nimeondoka mwenyew kazini nimefukuzwa . Yan sijui ata niende wap ,huu mji mkubwa na usiku utaingia sasaiv. Nikawazaaa wee mwishowe nikapata wazo kwanini nisiende Kwa Robert nimuombe kama Bado atakuwa na Yale mawazo yake ya kunio anioe ,ilinikate kauli ya dada kwamba sitoolewa ntakuwa ni mwanamke wa kutumika tuu mpaka wanaume wachoke. Kwel nikaenda nyumbani Kwa Robert Chakushangaza Ile nafika tu getini pale mlinz ananiambia eti Karibu madam .Kwanz nikaanza kucheka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments