
na kumpigia kwani nilikuwa nimemiss sana, simu iliita kwa muda sana, kisha ilikuja kupokelewa na mdada: "Hallow" "Hallow samahani naweza kuongea na Ethane? "Wewe ninani yake" "Mimi nimpenzi wake" Yule dada alicheka na kisha akaniambia: "Ooh! Pole kipenzi ndio unajidanganya hivyo eeh!? Kiukweli nilichukia na kukata simu kwa hasira sana huwa nimwepesi wa kupaniki, nilichukia hadi nilikuwa natetemeka yaani, nilianza kulia na kujilaumu kwanini nilikurupuka kuingia kwenye mahusiano na mtu nisiemjua vizuri mimi, nilichukia sana, baadae nikiwa nimejipumzisha huku ninalia tuu simu yangu iliita tena, kutizama ninamba ya General Ethane, sikutaka kuipokea kabisa kwani sikutaka kuumia tena, hivyo nikaizima kabisa
0 Comments