
Alikimbia kwa bashasha kisha akanikmumbatia kwa nguvu nikiwa na mimba yangu, nilishangaa imekuwaje, kwa sababu kwanza sikuwa na mazoea nae ki hivyo kuanzia amekuwa kijana mkubwa, kingine kwa anavyoonekana ni kama alikuwa ananitafuta.... mbona umekuja huku Solomon ? ikabidi nimuulize... Nimekutafuta sana mamaa, nimekutafuta sana, sikuwa najua kama una mimba, nakuahidi nisingekuacha hata sekunde moja uteseke, ningehakikisha napambana sana na unakuwa na furaha, kwa sababu nilishaapa kwenye maisha yangu yote nitahakikisha napambana kukufanya unakuwa mwanamke mwenye bahati zaidi dunian na unakuwa ni mwanamke mwenye furaha sana.... Nilijikuta namshangaa maana sikuwa namuelewa, ikabidi Yule mama amenipokea aje, akauliza " wewe ni
0 Comments