
0742133100 Mjomba alisimama kwa nyuma yetu na gari yake, wakati huo hatukuwa hata na wazo alitizama mchezo mzima, kisha General alipo niachia nilitembea kwatabu sana hadi getini, na kisha niligonga geti mlinzi akanifungulia nikaingia ndani, nilienda moja kwa moja chumbani kwangu nilikuwa namaumivu sana, General alipo nishuhudia tayari nimeingia ndani ndio akaingia nayeye kwenye gari yake na kuondoka zake, mjomba alishindwa afanyeje akasogea na gari yake hadi getini, kisha akapiga honi na mlinzi akamfungulia geti, alafu akaingia ndani alienda mpaka kwenye paking yake, kisha alishuka baada ya kupaki, alikuwa na hasira kweli baada ya kutuona, akaenda mpaka chumbani kwake, mkewe
0 Comments