GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu

bwenini,   niliumia kiasi kwamba  nilishindwa hata kula chakula,   nilipofika  bwenini nilipanda kitandani na kulala,  kiukweli Nancy pia alichukizwa na yale maongezi  ya kina Catrine,   ila alijizuia kuwafanyia timbwili  aliwatizama tuu na kisha aliinuka na kuelekea bwenini nilipokuwa nimeenda mimi,  alinikuta nimejilaza hapo kitandani akaniambia: "Laura tafadhari utafanya kilamtu ajue kuwa unampenda General,   hembu fanya uzifiche hisia zako  japo kidogo tuu" Nilikaa kimya sikumjibu kitu,   ila Nancy aliendelea kusema: Naomba shuka chini twende ukale,   haraka twende acha kuwa mjinga" Nikainuka na kumwambia Nancy huku machozi yakinitoka: "Unajua Nancy ninavyo mpenda  General Ethane" "Najua kipenzi changu  lakini  usiwe hivyo,  jikaze  uitengeneze na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments