
Huo ni ujumbe mfupi ulioingia kwenye simu yangu na kwa bahati mbaya muda huo simu alikuwa nayo Rohan mume wangu kipnz Tumefunga ndoa miezi miwili iliyopita bado ndoa yetu ni changa sana.. namba iliyonitumia ujumbe ni ngeni sijawahi kabisa kuiona😳😳😳 Rohan aliusoma ujumbe kwa kuurudia rudia na baada ya hapo alinikata jicho kwa hasira kisha akanivuta mkono hadi chmbn kwetu.. Alinitupa ktndn na kisha akabamiza mlango kwa hasira za juu sana 🥺 ""🗣️🗣️Amaya ni upzi gani huu😡😡 alizungumza Rohan na kunitupia simu mikononi🥹🥹"" ""Mume wangu tafadhari nakuomba ushushe jaziba tuongee😔😔niliongea kwa uoga ulionifanya nishindwe hata kuipekua ile simu😰..... Amaya unanisaliti
0 Comments