HAIZIMI 08 ❤❤.

HAIZIMI 08  ❤❤.

ENDELEA................ Alibaki kaganda kama sanamu akikitazama kitu..mbua cha Rehema huku akiwaza anaanzaje kukila kitu..mbua kisichotamanika kuliwa?, aliendelea kutema mate chini huku akimtazama Rehema na kuna mwanamke mmoja alipita na kumuona alivyokuwa kadi..ndsha akijua Oscar kamtama..ni kichaa bila kujua kama mwenzake anamatatizo na kuongea kwa sauti. "Wewe kijana mwogope hata mungu wewe yaani unamdi...ndishia mpaka kichaa!?" Haraka aliu...shika mpi..ni wake na kuubana vizuri. "Ni mawazo yako tu hayo" "Mawazo yangu? au ndiyo nyie mnaowa&&baka hawa vichaa na kuwatia mi...mba alafu wanabaki kuteseka na watoto mtaani eeeh!?" Oscar aliona kama mwanamama anamchanganya tu, alivunga kuondoka na kwenda kujificha sehemu ili tu kumkwepa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments