
ENDELEA........ Oscar alimfikia na kuongea. "Nilikuwa na shida ya kuonana na sister mary" "Oooh sister Mary hayupo kaenda kuwasilimia nyumbani kwao na atarudi baada ya wiki moja!" Alishukuru kwa kupewa taarifa na kugeuka zake kwa ajili ya kuondoka ila sister alimwita na Oscar akasogea. "Jitahidi uzizuie ta...maa zako za kimwili!" Alijiongeza mwenyewe na kujiangalia. "Dah, aya sister!" Oscar aliiziba iku...lu yake na kugeuka na kwa mbali alimuona binti cheupe akiingia kwenye gari lake, haraka alimkimbilia na kuingia ndani ya gari pasipo hata kuruhusiwa. "Leo nataka nikapajue unapokaa!" "Nahisi kwenye kichwa chako kuna wadudu hawapo sawa!" "Hahahaha" Alicheka huku akifunga mkanda
0 Comments