HAIZIMI 14 ❤❤.

HAIZIMI 14  ❤❤.

ITAENDELEA...... Mpaka anafika kwenye benchi alilokuwa amekaa mwanzo hakujua kama tayari mambo yameshavulugika zaidi alikaa na kuwaza atatumia njia gani kuongea na Sister Mary, binti cheupe aliyekuwa amekaa alimwangalia Oscar na alishituka kuona bado imesimam**a tu na kwa mawazo yake alijua amemta...mani ndiyo maana alikuwa akimgusi...shia mtali..mbo wake kwa nyu...ma na kwa sauti ya chini alimwongelesha. "Huoni hata aibu wewe kaka yaani unadi..ndish kanisani!" "Heeeeeh!" Oscar alijiziba na mikono yake na kumuuliza. "Watu wameona!?" "Kama mimi nimeona wengine wataachaje kuona!" "Mamamamamamaa, aaaaaaaaaaah" Pozi lilikata kwa Oscar na kiani alili...shika ru..ngu lake na kulibana kwenye mkanda wake. "Mbigu utaisikia tu kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments