
tukiwa tumetoka matembezini usiku wa saa saba mimi na kampani yangu ulikuwa muda umeenda sana tukiwa tumelewa chakali kama unavyo jua pombe zina kawaida ya kushuka chini 🤣🤣🤣 nikajikuta nacheka cheka bila hata kuchekeshwa tulikuwa tuna toka samaki samaki kwenda home gafla rafiki zangu wakabadilisha mawazo shogaa saizi muda bado bwanaa 🥺🥺🥺 , twendeni star park msamvu nikajikuta nafuata mkumbo tu tulifika star park na tuka kuta vibe kama lote mziki mnene mabinti na wakaka wazuri wana dance dance weee nika shuka fastaa moja kwa moja hadi katikati na kuanza kuonyesha ufundi wa kucheza piano we ee 🤐🤐🤐 nikashangaa nusu
0 Comments