HAUZIMI 17 ❤❤

HAUZIMI 17 ❤❤

ENDELEA............. Mizagamuo ilianza upya tena temu hii Sister Mary alionesha ushirikiano wa aina zote, hakukumbuka tena kama yeye ni mtawa na ni dhambi kubwa kwa kile alichokuwa akikifanya ila kilichokuwa ndani yake ni kukata kiu tu, mpaka wanakuja kumaliza Sisiter Mary alikuwa hoi na alienda kuoga kwa mara nyingine na baada ya hapo akaondoka. Oscar alikuwa tayari ameshapata uhakika kuwa sister Mary sio mhusika hivyo alikuwa na kazi ya kuendelea kuwasaka wengine na binti aliyekuja kwenye kichwa chake ni Recho. "Mmmmh sidhani kama Recho ndiyo aliyenifanyia hapana kwakweli!" Oscar alijipinga mwenyewe kwani Recho alikuwa ni mucha mungu hasa na hata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments