LIBWATA YA MAMA RASHIDI 01.

LIBWATA YA MAMA RASHIDI 01.

ANZAA...... "Umesema mganga niitie kwenye nini hii dawa!?" "Chai au maji ya kunywa na umpe mmeo anywe, baada ya hapo utakuwa umemshika na atakupenda mpaka utashangaa mwenyewe!" "Hapo nimekuelewa mganga!" Alijibu na kumlipa pesa na kunyenyuka na kumfanya mganga atumbie macho yake akiyatazama maka...lio yake yaliyokuwa yakitikisikika. "Kama ni kalio tu basi unaloo!" "Khaaaa na nyie waganga kumbe mnataka!?" "Hata sisi fimbo tunazo dada tena zinachapa kweli kweli au nikuchape kimoja!!?" "Nyooo kwenda huko, tabia mbaya tu hizo mganga, mimi naenda bhana mfate mkeo ukamchape na bakora yako!" "Khekhekhekhekhekhekhe!" Mganga alikenua meno akicheka akiendelea kuburudika na ukubwa wa maka...lio ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments