HAUZIMI 19 ❤❤ ENDELEA............. Oscar alivyofika kwake alikutana na habari za Sister Mary kumtafta

HAUZIMI 19 ❤❤  ENDELEA............. Oscar alivyofika kwake alikutana na habari za Sister Mary kumtafta

, alijua kile ambacho kilimleta sister wa watu ila hakuwa na mda wa kumtafta kutokana na mawazo aliyokuwa nayo, bado aliendelea kuwaza mtu aliyemtupia libwata na bahati mbaya kwake pesa zilikuwa zimeshapungua kwa kiasi kikubwa baada ya kutumia kiasi kikubwa cha pesa na mda huo huo Grace alimpigia simu na Oscar akaipokea. "Mambo!" "Poa!" "Unamda uje hapa nyumbani!?" "Hapana sina mda kwa sasa!" Oscar alikata simu na kuamua kumpigia Bon na kumuuliza sehemu alipo. Bon alimwambia yupo kwake anapungwa upepo hivyo Oscar alimuaga mkewe nakwenda kwa Bon. Alifika na kukaribishwa vizuri tu na jamaa wake mpaka ndani ila mke wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments