ILA BABA MKWE! ❤❤ 12

ILA BABA MKWE! ❤❤ 12

"Basi njoo kwa mara mwisho!" "Upo wapi Fatuma!?" Baba Mkwe aliniuliza huku akichekacheka baada ya kumkubali, nilimwelekeza sehemu nilipo ila alisema itakuwa ngumu kuonana na mimi siku hiyo kutokana na umbali uliokuwepo. "Basi ndiyo imepita hiyo hutaipata tena hii nafasi!?" "Acha basi na wewe Fatuma mbona unanilingia kila mara!?" Nilikata simu na sikutaka tena kuendelea kuongea na Baba Mkwe maana hisia nilizokuwa nazo siku hiyo na sio siku nyingine. Niliona bora niende saluni kupoteza mda na huenda nitapata ata mteja mmoja wa kumsuka, wakati natembea naelekea saluni kumbe Nasir aliona akiwa kalewa pamoja na mwinzake mimi pasipo kujua miguu yangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments