Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️

Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️

BADO HAKIJAELEWA MSIMBAZI. Ni Ayoub Lakred au Issa Fofana???? $ijui Simewaza nini kutaka kuachana na Mousa Pinpin Camara.Hadi Sasa kuelekea dirisha la Uhamisho la Majira ya Kiangazi Mnyama anamachaguo mawili ambayo ni Pendekezo kutoka Kwa Kijana wa Kiholanzi Mels Daelda ,Majina Mawili yaliyopendekezwa ni Issa Fofana wa Al Hilal Omdurman,Huyu Ndiye Chagua la kwanza kabisa huku Ayoub Lakred akisalia kama Second option endapo wataikosa Saini ya Issa Fofana. Club ya Simba Tayari imeanza Mazungumzo na Uongozi wa Issa Fofana kuhitaji huduma yake Msimu ujao 🤝🤝🤝 N:B Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments