Mchezaji wa klabu ya Internazionale Milano raia wa Iran Mehdi Taremi amezuiwa kuingia nchini Marekani

Mchezaji wa klabu ya Internazionale Milano raia wa Iran Mehdi Taremi amezuiwa kuingia nchini Marekani

πŸ‡ΊπŸ‡² kwa ajili ya kujiunga na kikosi Cha timu yake kwa ajili ya kucheza mashindano ya FIFA Club World Cup. Sababu kuu ya kuzuiwa kwake,ni uraia wake, Serikali ya Marekani imeshaweka vikwazo kwa watu wote wenye uraia wa Iran kuingia nchini humo,hawaruhisiwi. Mehdi Taremi hatokuwa sehemu ya kikosi Cha Internazionale Milano kwenye mashindano ya FIFA Club World. FOLLOW US.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments