JAMANI BINAMU SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA Ilpofika mida ya saa sita nikasikia mlango wangu ukigongwa

JAMANI BINAMU SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA Ilpofika mida ya saa sita nikasikia mlango wangu ukigongwa

taratibu,nikainuka kwenda kufungua mlango huku nikijua aliyekuwa anagonga ni binamu yangu Baada ya kufungua mlango nilishangaa kukutana na house girl akiwa kwenye vazi la khanga moja SONGA NAYO Nilishangaa sana kumuona house girl akija kugonga mlango wa chumbani kwangu muda ule kwani ilikuwa ni usiku sana "mambo"alinisalimia "poa unataka nini?"nilimuuliza "siwezi kuzungumza hapa nje"alisema "unataka tukazungumzie wapi?"nilimuuliza "chumbani kwako"alijibu Kabla hata sijamjibu nilishangaa akiingia chumbani kwangu na kukaa kitandani,kwa hile khanga alioivaa na lile umbo lake lilivyonona mzee huku chini alianza kusimama imara kama anaimba wimbo wa taifa Nilitoka pale mlangoni na kuenda kukaa kwenye kitanda ili nimsikilize anataka nini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments