
angu jamn ucnijibu ivo najiskia vibaya ,hujui ata kilichonikuta uko nilipotoka dada angu . Yan natetegemea wewe ndo uwe mfariji wangu wakwanz ila wewe ndo mpondaji wangu wakwanz kwel dada . Dada akaniambia Yan Mimi nikufariji wewe Kwa ufusca unao ufanya vipi ulio lala nae hajakupa ela au maaan ayo ndo majanga mnayoyapia watu wenye kazi kama zako . Mmmh nikaguna ,nikawa najisemea eeeh kwaiyo uyu dada anajua najiuza au 😏. Weee sindo akanisika nimeguna ,akaanza kunichamba upya ,akawa ananiambia Aya unagunaguna Nini Shetani Mweusi wewe .Yan nimekuombea kazi ofisini Kwa rafiki angu ukaona haitoshi ukamchukulia na bwan wake .
0 Comments