πŸ”₯πŸ”₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIπŸ˜‹πŸ˜‹ Sehemu ya tano

πŸ”₯πŸ”₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIπŸ˜‹πŸ˜‹  Sehemu ya tano

( shida ya maji shikamoo) __________________________ πŸ‘‰ Twende..πŸ‘‡ " Sawa ila wewe mke wa mtu sio vizuri kuongozana chukua funguo nikukute ndani. " Poa. ( Yani nasukumwa na hasira nashika funguo ya kaka muuza maji naanza safari ya kwenda kwake...njiani naonana na wifi kwa mbali anapigwa na mwanaume sasa sijui ni bwana ake au mumewe maana simjui kiundani wifi...nawaza sasa je akisema anakuja kwa kaka yake alafu akinikosa itakuwaje?...nawaza uku watu wameamulia ule ugomvi wanauliza chanzo jamaa anaongea) " Uyu mke wangu ila anapenda ujinga sana asinione nimesimama na mtu anavamia na kutukana sasa nimesimama na mama yangu mdogo alafu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments