
( shida ya maji shikamoo) __________________________ π Nikubali au nikatae najiuliza hapa Dah yani...π Nikajikuta nimesema) " Sawa. ( Kaka muuza maji akanikumbatia kwa furaha sasa naona mdomo wake anauleta mdomoni kwangu kabla ajanigusisha simu yake inaita ule mwanga wa simu ulinifanya nione aibu nikafumba macho yeye akaniachia akashuka kitandani kupokea simu) " Haloo. " Oya mzee anasema Kesho afungui Kuna sehemu anaenda Kwaiyo tulioweka madumu kule tukachote maji saizi tuyatoe tujue tunaweka wapi. " Poa Kesho itakuwa magoli sana acha nichukue na dumu zengine zote nikusanye maji usiku huu huu. " Poa mwana shida ya maji kwetu furaha tunapiga
0 Comments