
Je Unajua : Klabu ya Fluminense ya Brazil ndio klabu iliyo na rekodi ya kuwa na Mchezaji mfupi zaidi na mrefu zaidi kwenye FIFA Club World Cup,
✅Golikipa wao, Gustavo Ramalho ana urefu wa Mita 2.1.
✅kisha mchezaji Yeferson Julio Soteldo Martinez ana ufupi wa Mita 1.60.
Kuna utofauti Sintimita 41 kati ya Gustavo na Martinez.
Soma zaidi
0 Comments