
SIMLIZI: Tulipoishia 👇👇👇👇 Mzee hakuamini alichokiona kwakweli siamini Hiki ninachokiona Mzee alichomoa pisto mika na jenn walianza kukimbizana humo ndani Mzee amechafukwa ...hii nyie watoto nawaua Hiii laana siitaki Mika alikimbia na jenn dada yake Ili Mzee asiwauwe Mzee baba jenn alibaki ndani akilia sana Mungu wangu hii ninini Watoto wangu wakuzaa wanafanya mapenzi kweli Kweli siamini siamini Mika alikimbilia polini na jenn dada yake Kaka mika huku tunaenda wapi . Ahaaa jenn huku tunaenda mbali tukajifiche Mzee asituuwe maana unamjua baba Hakili zake . Jaman kaka mika unaamini huku tutakuwa Mahali salama . ,,,ndiyo dada jenn Huku tutakuwa salama
0 Comments