
SIMLIZI: Ilipoishia 👇👇👇 Jenn ndani ya hospital . Baada ya kupimwa na kugundulika ana mimba Binti nimechukua vipimo vyote Nimepima uti hauna na maralia huna pia Lakini habali njema ni kwamba una mimba Ya wiki mbili . Jitaid usifanye kazi ngumu maana inaweza kukuletea mazara Jenn alingua kilio pale pale Mamaaaaaaaaaaa nimekukosea mzazi wangu Nimelala na kaka yangu Nisamehe baba na mama Huyu mtoto atamuitaje mika Baba au mjomba Hii aibu naiweka wapiiiii Mhhhhhi Jenn alilia sana ninajutia Huu ujinga Doctor alimusogelea na kumuuliza binti Kwani kuna nini kinaendelea Doctor niache Jenn alitoka huku mwili wake hauna nguvu Vizuri alielekea
0 Comments