KAKA ME DADA YAKO SEHEMU YA KWANZA

KAKA ME DADA YAKO SEHEMU YA KWANZA

JENNIFER ndilo jina langu tuko wawili tu kwenye tumbo la mama na baba ni mimi na kaka yangu mika Baba ni dereva wa basi ya mwendo kasi Kutoka dar kwenda mwanza . Mama nayeye ni mfanya biashara ya mikoani Hivo nyumbani tunakaa sisi tu mara nyingi Mimi nina miaka 17 kaka yangu ako na miaka 15 Ndiyo kwanza nimemaliza secondary school Nilimaliza kupika cha usiku Nikaenda kumuita kaka mika aje tule leo mama hakuja inaonekana amelala huko Kaka mika njoo tule Mmh hee umepikaje jenn mbona chap hivo Ila wewe huogopi leo mama unaonekana amelala huko . Jamani dada jenn

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments