KAMA MUMEO HAKUJALI ZINGATIA HAYA.

KAMA MUMEO HAKUJALI ZINGATIA HAYA.

Huenda ndoa yako imekua chungu na unaitaji kupata uponyaji wa haraka uweze kuwa Mwanamke mwenye furaha zaidi kwenye ndoa yako. Dada kwanza tambua tu huyo ni mumeo na wampenda sana, lakini kama amefeli kulienzi penzi lako basi Mungu wetu hafeli juu yako, ✍️Dadaangu Jipe raha mwenyewe na wala usimruhusu akuharibie furaha na amani ambayo Mola wako amekupa. Pengine kutokana na tabia mbaya za mumeo umekuwa mtu wa hasira nyingi, stress, watoto wawaongelesha kwa hasira, hata kufanya usafi wa nyumbani kwako wafanya kujisukuma, yaani kila kitu kimevurugika humo ndani Mambo hayaendi kama yanavyotakiwa kuwa. Dada mpendwa wacha nikuambie siri moja ambayo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments