
KANUNI 31 TAKATIFU (BRO CODES) 1. Usimdhuru mwanamke kwa njia yoyote ile – hasa kingono. 2. Mwanaume halazimiki kupika vyakula vitamu kila mara, lakini siyo kosa kujifunza. 3. Ni vyema wanaume wawili kutokuwa uchi pamoja – heshimu mipaka ya mwili. 4. Mwanaume wa kweli huogelea kwa maji ya baridi; anaulinda uzalendo wake. 5. Mwanaume wa kweli hujua muda wa kuondoka bila kuambiwa. 6. Usimuulize Mwanaume jina lake kila mara – mkiitana “Bro,Chef, Kiongozi inatosha 7. Nguo zako zikitoa harufu kali, unapaswa kujijali – usitumie hilo kama sifa, Mwanaume hasifiwi kwa uchafu 8. Ukiona mpenzi wa Mwanaume mwenzako yupo, jiondoe bila
0 Comments