PENZI LA MTOTO WA KISHUA🥰🔥 01 "Loo!..hivi ni kweli mtoto mkali namna ile

PENZI LA MTOTO WA KISHUA🥰🔥 01  "Loo!..hivi ni kweli mtoto mkali namna ile

PENZI LA MTOTO WA KISHUA🥰🔥 01 "Loo!..hivi ni kweli mtoto mkali namna ile anaweza kuja getoni kwangu kunitembembelea au ananipima akili!?" Masumbuko alijiuliza kwa mshangao mkubwa mda mfupi baada ya kutumiwa meseji na mtoto wa Waziri mkuu aitwaye Nancy. Masumbuko ni kijana anayeishi tandale kwa mtogole, maisha yake ni kutembeza ukwaju kila kukicha hali iliyosababisha mpaka nyayo zake kupasuka mithili ya udongo wa mfinyanzi. Kula kwake ni shida na kulala kwake kwa shida mno. Chumba anachokaa kina ufa mkubwa sana mda wowote kinaweza kumdondokea na huenda ukawa mwisho wa maisha yake. Basi baada ya kupokea meseji hiyo, Masumbuko aliyekuwa amepumzika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments