‎KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA ‎Episode 25

‎KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  ‎Episode 25

‎ ‎Basi baada ya kutaka kuingia ndani nilikutaka na kelvin siyo kulutana naye tu nilikutana naye kanitolea macho kama fundi saa aliyepoteza nati muda huo tayari nimeshajilia vya kujilia sasa mwepesi kama karatasi ... ‎" ulikuwa wapi lucy? ‎" nilikuwa nje kwani vipi? ‎" nilikwamhia nini? ‎" kuhusu nini tena mbona kama unaniendesha hivo? ‎" nachojali ni maisha yako shemeji" ‎" hebi we kaa kimya maisha gani ? Kuhusu nini? Shemeji kwanani? Kwa marehemu au ? Aliyekufa kafa .... ‎ ‎Nilikuwa nimeshaanza kuona kama anaanza kunichoreshea maisha sasa ngoja kidogo ajuwe kuwa mimi ni chizi mi kila siku namuomnba hataki

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments