KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA NOTE: Based on true story soma kwa uangalifu ina maudhui ya watu wazima EPISODE 23

KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  NOTE: Based on true story soma kwa uangalifu ina maudhui ya watu wazima   EPISODE 23

Basi baada ya kuangukiana na kelvin nilikuwa namtazama kwa namna ambayo inaonyesha kuwa kuna kitu kitu nakitaka wahindi husema "Kuch hai jo mujhe chahiye." (Kuna kitu ambacho nakitaka) Basi macho yetu yalikuwa yakitazamana nilijua huenda tayari ndege kanasa kwenye tundu.sasa ni mwendo wa kumtegua na kwenda kumbanika . Nywele zangu zilikuwa zimejaa usoni aliziweka vizuri kwa kuzirudisha nyuma nilisisimkwa .... Hakuna raha kama kusetiwa nywele na chibaba yaani ni raha sana nilijikuta nikikenua peke yangu yaani jamaani. Alichokifanya ni kuniinua na kunilaza kitanda alininyanyua juu juu huku bado ananitazama kwenye lipsi zangu kama mtu anayetaka kunipa kiss hivi...ila akanilaza na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments