Kenya Police wametawazwa Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Kenya

Kenya Police wametawazwa Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Kenya

baada ya kuwalaza Shabana na kufikisha pointi 62. Bao la kichwa la dakika ya 75 kutoka kwa Brian Okoth liliipa Police FC taji lao la kwanza katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos leo Jumapili. Klabu hiyo imetwaa Kombe la kwanza la Ligi Kuu ya Kenya katika historia yake. Étienne NDAYIRAGIJE alisaini mkataba katika klabu hiyo mwishoni mwa Novemba 2024 na akiikuta timu hiyo katika nafasi ya mbaya. #KitengeSports

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments