
Timu ya Taifa ya Angola imetwaa ubingwa wa kombe la COSAFA 2025 kwa mara ya pili mfululizo kufuatia ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Afrika Kusini (Bafana Bafana) kwenye fainali katika dimba Free State huku Comoros ikiibuka mshindi wa tatu kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Madagascar. Angola imetwaa kombe hilo kwa mara ya 5 kihistoria ikifikia rekodi ya Afrika Kusini ambao pia wamebeba ubingwa huo mara 5. Zambia ni kinara wa kutwaa kombe hilo mara nyingi zaidi (7) wakifuatiwa na Zimbabwe ambao ni Mabingwa mara 6. FAINALI: FT: Angola 🇦🇴 3-0 🇿🇦 South Africa ⚽ 43' Depu ⚽
0 Comments