
1 - Alicheza mechi zote Sita (6) za Hatua ya Makundi & Mechi mbili (2) za Robo fainali dhidi ya Al Ahly🇪🇬 Hakufanyiwa Sub hata mara moja❌ Alicheza Dakika zote katika mechi zote 8 Fitness yake ipo juu ✅ 2 - Upigaji wa Krosi (50%) Amepiga Krosi 14 katika mechi 8 Krosi 7 Zilifika✅ Krosi 7 hazikufika❌ 3 - Kushindania Mipira ya Juu (73%) Ameshindania mipira 11, Ameshinda mipira minane (8) 4 - Kushindania mipira ya Chini (57%) Ameshindania mipira 51, Kashinda mipira 29 5 - FAULO Amecheza Faulo 8 na yeye amechezewa Faulo 7 kutokana na uwezo wake mkubwa
0 Comments