
huruma Shania. Ni haki achsnganyikiwe ameanza kupitia makubwa tangia alipokuwa mdogo sita kuacha pekee yake nitapambana nae mpaka mwisho. Alifika nyumbani akamkuta Shania akiwa anatembea tembea pale ndani huku ameshikilia mdoli wake huku akiimba Happy birth day to you x 2 Happy birth dear Ilham wangu. Mwaaa Mwaaa. Nakupenda Ilham baba anakuja na keki leo tunakata keki tuna kula ammmmm tunatafuta tunamezaEE Ilham wangu huyo nakupenda pendaaa..... Shania alionekana kuwa na furaha sana na mdoli wake wakati huo Shahid alikuwa amesimama mlangoni akimuangalia, Shania alikuwa hajamиопа. Shahidi alijikuta machozi yalimtoka, mara Tessy alitokea. Boss upo sawa? Shahidi alifuta machozi haraka
0 Comments