UDHAIFU WA MR CEO ________________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* "Tunafanya je sasa? Nikauliza, akanambia kuwa tujiandae twende kazini, kweli tukajiandaa na kwenda

UDHAIFU WA MR CEO ________________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  "Tunafanya je sasa? Nikauliza, akanambia kuwa tujiandae twende kazini, kweli tukajiandaa na kwenda

kazini, tukafanya majukum yetu, ila kila wakati ananiita, yaan ni kama alikuwa anasikia raha akiniona na nilishamzoea my wangu hivyo sikuwa hata nakasirikia hata kidogo... Basi bana siku hio ukaanza kuzuka uvumi kuwa Edward marco anaugonjwa wa akili, na ni kichaa ambae amechanganyikiwa kabisa, hivyo watu wanamuona kama mfanya biashara mkubwa ila nyuma yake yuko mwanamke na wakaweka picha yangu, kwamba mimi ndio namtumia Edward ila mimi ndio mmiliki wa kila kitu, na mimi hata kipindi nipo chuo nilikuwa tajiri ila sikuwa nataka kujionesha na ndio nimeshika kila kitu kinachohusiana na biashara ambazo anafanya Edward, zile taarifa zilimchanganya sana, maana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments