*KIJIJINI KWA BIBI* *1-----5* Na Mwaisa Story Sehemu Ya 1 ___________ MWANZO ____________ "njoo uingie bado gari iko wazi hii, mama kaa vizuri hapo mnatosha

*KIJIJINI KWA BIBI* *1-----5* Na Mwaisa Story   Sehemu Ya 1 ___________ MWANZO ____________ "njoo uingie bado gari iko wazi hii, mama kaa vizuri hapo mnatosha

watu wawili",ilikua sauti ya mpiga debe aliyekuwa anaita abiria katika stendi kuu ya daladala mkoani Dodoma(Jamatini). Ni dhahiri kabisa mpiga debe huyo alikuwa amechoka kutokana na njaa na jua kali, pia muonekano wake ulijidhirisha alivyochoshwa na maisha. Mdomon alikuwa na sigara iliyokuwa inawaka na aliipeleka mdomoni kila alipogida kipakiti cha konyagi kilichokuwa na nembo ya kichwa cha jogoo, na kila alipogida konyagi hiyo aliimeza kwa tabu huku sura yake akiwa anaikunja kama anaumia koo. Alivaa shati na suruali ya rangi ya bluu iliyopauka na zaidi suruali yenyewe aliivalia chini ya makalio na kufanya kuonekana kwa nguo yake ya ndani iliyokuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments