*KIJIJINI KWA BIBI* Na Mwaisa Story Sehemu Ya 2 ______________ ILIPOISHIA. _______________ "Inatakiwa nijue ili nipange ratiba zangu za matumizi vizuri" Stellah

*KIJIJINI KWA BIBI* Na Mwaisa Story   Sehemu Ya 2 ______________ ILIPOISHIA. _______________ "Inatakiwa nijue ili nipange ratiba zangu za matumizi vizuri" Stellah

alijibu kwa upole, "We panga unavyojua wewe, maana mimi nije peke yangu au na wenzangu hayo hayakuhusu na gharama zangu au wenzangu pia hazitokuhusu" Kayoza aliongea macho yakiwa makavu, "Basi baba, hatugombani hapa" Stellah aliongea huku akitabasamu, "Haya nenda nje mimi nivae" Kayoza alimwambia stellah, "Kwani ukivaa mbele yangu kuna ubaya gani?" Stellah aliuliza kwa utani, "Wewe mpumbavu nini?" Kayoza aliongea huku akimsukumia Stellah nje na kubaki ndani peke yake huku akisonya kwa hasira huku akiufikiria mualiko aliopewa na Stellah.. Ila angejua ambacho kitamtokea, basi asingekubali ule mwaliko....... _____________ ENDELEA. _____________ "Mpuuzi kweli huyu manzi" Kayoza aliendelea kuongea peke yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments