
kweli simu na mama nimemsikia muda si mrefu anamsema mke wangu vibaya amtaki kwenye ndoa, Dah yani....π Mimi nikajiongeza akili ya kiume sikumpa mama simu zaidi nikawa namsalimia tu uku simu hipo hewani mke wangu alidhike nipo na mama sasa. " Shikamoo mama. " Marhaba mwanangu karibu sana mwanangu mpendwa kidume changu wewe niliyekuzaa kwa operesheni nikisikia baridi tumbo la niuma kwa sababu yako mwanangu wewe mwanangu nimeteseka mimi kukulea wewe baba yako kakuacha mdogo wewe akafariki mwanangu wewe sina la kusema nikikuona nasikia raha. " Yani mama yanamtoka maneno mengi ila moyoni nishajua points yake anayorenga hapo nadhani mke
0 Comments