
👉 Njoo my basi...👇 ( Nikawaza tamaa mbele umauti nyuma sokoni sio mbali mama mkwe akirudi anaweza kuniua...nashangaa mwenyewe naongea) " Baba hapa sio sehemu salama mama anaweza kuja. " Sawa my sasa akija muage unaenda kwa mama yako anaumwa au ndugu yako yoyote yule hili twende sehemu yenye usalama. " Sawa. ( Aliweka bahasha kwenye kibegi...mimi nishaingia tamaa ya pesa ile...dk 10 mbele mama mkwe kaja na samaki nikawa naanda samaki uku namwambia mama mkwe) " Mama Samahani naomba ruxsa nikamwangalie baba yangu anaumwa. " Ngoja nimwambie baba yako maana mimi mwenyewe siwezi kutoa. " Sawa niombe kwa baba.
0 Comments