
sasa ila hapa napakumbuka vizuri nishawahi kuja na lecturer hapa ilikuwa siku ya kwanza mimi na yeye kukutana kimwili hii siku aliniomba nikamwambia nimechoka kwa hali yangu, maan ningesema kwa ajili nina mimba yeye mwenyew daktari anajua faida ya papampa kipindi cha mimba anaelewa kwahyo nilikuwa nasingizia nimechoka kila siku na kazi bado na mimba nilikuwa sitkai kumpa tu, hadi aliniombea ruhusa kazini lakini bado nikawa na visingizia kweli kama nini ilipita mwezi toka tuoane hatujakutana kimwili, na mimi ndio nilikuwa na visingizio kibaoo hhh ila mimisa kwanza mimba yangu nahisi ilikuwa haina motivation na hayo mambo kabisa hivyo sababu
0 Comments