LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 17 Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII   Chapter 17  Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri

mama yupo pembeni yangu ananitizama tu me naee namshaanga "kwani imekuaje mpaka nipo hapa kumbukumbh yangu ya mwisho ilikuwa nipo chumbani nalia balaa mama alinikata hilo jicho kali kinoma yaaani hadi nikatizama chini kwa uoga "Kwahyo wewe mpuuzi ulitaka ufe? Maan umejifungia mlango wewe mjinga maanake tusingevunja mlango ungekufa wewe yaani sasa hvi tungekuwa tunaongea mengine kabisa hapa yaani wewe sijui upoje yaani mhh hapana hivi hizo akili zako ndio ulitaka umuumize na mjukuu wangu si ndio? Wee nilishtuka jamni mimi "nina mimba?" Niliuliza kwa sauti ya wasi wasi mkubwa sana mimi Mungu wangu sijui itakuajee uwii ndio unayo ulitaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments