
_____________________________________ Niliamua kuziba mdomo nisitoe sauti, J alinitizama machoni, nikakwepesha macho, akatabasamu na kuendelea kunipaka akanivalisha adi kabati, ndipo akaenda kuoga, katoka ata bila taulo, ikabidi nijifunike macho, alivyo na makusudi, akasogea mpaka nilipo, ivo ivo akanitoa mikono machoni, " mke wangu, usinionee aibu wewe ndo msiri wangu, unapaswa kuona kila kitu, "naomba basi ulipize kisasi kama nilivyokupaka mafuta na mimi unipake ili usione kama nakuonea iwe ngoma droo, tena wewe utaipaka mpaka hii, huku ananishikisha, wee nilitoa mkono haraka... Nikamwambia mimi naumwa, sitaki kulipiza, alitabasamu tu akajiandaa, kumbe alikuja na nguo kabisaa, saa 11 tayali usafili ulifika tukaondoka, simu
0 Comments