
J alinitizama akagundua kabisa namaanisha ninachoongea alinikumbatia kwa furaha mno, J mke wangu nakupenda mno, nisikufiche nilikuwa naumia mno kuona unamlilia jamaa na mimi nipo,nilimtuliza mme wangu kwa busu la mdomoni kwanza atulie aache kuongelea watu wasio na tija kwetu, tunamambi mengi yakujadili... Tuliongea mengi na mikakati ya maisha, geti liligongwa tena hatukwenda kufungua J alinizuia na alipiga simu kuleta mlinzi,alipatikana wa kampuni, tena usiku huo huo, aliingia kazini.. Tulilala kulikucha, nilimuandaa baby mapema saa 11, ili awahi vipindi, nilihakikisha kanywa kabisa na chai, nilitaja kumwandalia na cha mchana akanizuia na kunielekeza kama nitakuwa na nafasi anamtu wake pale mlinzi
0 Comments