
* Nilishangaa sana kuwa inawezekana vipi niwe nina mimba ya Kendrick na wakati sina kumbu kumbu kama nimeshawah kulala nae, ndio akaomba kuongea na mimi, nikasema ngoja nimsikilize tu, maana sikuwa naelewa jambo lolote lile……… “ unakumbuka kwenye ile siku ya mahafaliu, ile siku ndio siku ambayo kwa mara ya kwanza nililala na mwanamke na mwanamke mwenyewe ulikuwa ni wewe, nakumbuka mara ya mwisho uliniahidi kabisa kuwa nikimaliza shule utalala na mimi, na nilikuwa nina hamu na wewe kupita maelezo, ila ulikuwa unanikwepa sana, kwa namna ambavyo mwili wangu ulikuwa unakuhitaji, maana akili yangu nulishaiambia kuwa lazima unipe hata kidogo
0 Comments