
Asubuhi mama aliniita mum niliita bee mama amka mwanangu kumekucha niliamka na kumsalimia mama baada ya kumsalimia mama mama aliniuliza umelala sebreni mwanangu ndio mama nilikuwa na angalia tv usingizi ukanipitia haya mwanangu umeamkaje ??? Aliniuliza mama kwa sauti ya upole kabasia ilinichukua dakika kama moja hivi kumjibu mama ukalimu wake uliniacha na tabasamu tu nika mjibu mimi niko salama kabisa mama yangu haya tufanye usafi binti yangu tulianza kufanya usafi pale na baada ya kumaliza kufanya usafi tulipika chai na mama alienda kuoga na mimi pia nilienda kuoga na kukaa kunywa chai Mum mwanangu unayaonaje mazingira ya morogoro mama
0 Comments